Kijana mmoja eneo la Bmaga jijini Dar Es Salaam amenusurika kifo baada ya kushushiwa kichapo kizito baada ya kutuhumiwa wizi wa box la spana eneo la gereji.
| Vijana wenye hasira kali wakinagusha kichapo kwa mtuhumiwa wa wizi. |
| Kichapo kikiendelea |
| Sura Nyanga nyanga |
| Walio na huruma walimuamulia na akalishwa chini akisubiri maamuzi |
Post a Comment