Hizi ni picha kadhaa zilizopatikana zinazomuonesha Video queen ambaye amejikuta katika tuhuma kadhaa za kujihusisha na madawa ya kulevya na mwisho wake kuachiwa kwa madai ya kutioonekana kuwa na hatia na moja ya nchi ambayo amekutwa na maswahibu mara kadhaa ya kesi za madawa ni Afrika ya Kusini na kwa taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa Agnes amerudi Afrka ya kusini ingawa haijaeleweka ki mishe gani zimempeleka.






Post a Comment