Davido afunika mbovu kwenye ukumbi wa Pulse 48 Brooklyn, NY. Ukumbi huu unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya Elf 1 lakini ulijaa na kusababisha vurugu na watu kupoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Kiingilio cha show hii kilikuwa ni kuanzia Dollar 40, ukinunua kabla ya show na mlangoni ilikuwa Dollar 60, VIP kwa watu wanne ilikuwa Dollar 650.
Davido alizikonga nyoyo za mashabiki wake kabla ya show kufunjwa na polisi wa usalama na wa zimamoto.
Moja ya ugomvi mkubwa uliotokea kabla ya Davido kupanda jukwaani.
Watu walijaa kupita hadi kukosekani amani ndani ya ukumbi huu licha ya winter watu walisweat kama punda.
Huu ndiyo umati uliojitokeza katika show hiyo ya Davido ukodak wa Vijimambo kama kawaida ulikuwa live ndani ukumbi huo.
Ugomvi ndani ya ukumbi Vijimambo kama kawaida on point.....!!
Mtu kapoteza fahamu baada ya kuzidiwa na hali ya hewa.
Post a Comment