Mwanzo »
» HILI NDILO GARI JIPYA KABISA LA MSANII WA BONGO FLEVA LINEX SUNDAY MJEDA.
|
Linex Sunday Mjeda |
|
Gari Jipya la Linex Kwa Mwaka huu |
|
Picha hiyo hapo juu Kwa Mwaka jana(2013) Linex Sunday Mjeda aliweka wazi kununua Gari hili na ikabainika kuwa Linex mbali na Biashara ndogo ndogo za kijasiliamali hana michakato mingine zaidi ya muziki ambao umeonekana kumuingizia kipato kwa kiasi cha kumfanya kuwa miongoni mwa wsanii wenye maendeleo kimuziki na kimpatao pia.
Kupitia kurasa wake wa Facebook (LinexSunday Mjeda) Linex alipost picha inayoonesha mkoko wake mpya ambao unaonekana kuwa ni jasho la kile anachoangaika kukifanya kila kukicha na kuandka haya ''Tanx God hustle zangu naanza kuziona Mungu ibariki kazi ya mikono yangu nikipatacho lq hasha sikipati kwa mkato nakipata katika misingi inayokubalika kwenye jamii#voa'' |
Muonekano wa Post yake Kuhusu Gari Lake Jipya.
Post a Comment