Bao za Steven Gerrard na Daniel Stirridge zimewapa Liverpool ushindi wa Bao 2-1 walipocheza na Sunderland kwenye Mechi ya Ligi Kuu England na kuzidi kuwapa matumaini ya kuweza kutwaa Ubingwa Msimu huu. Bao la Sunderland lilifungwa na Ki Sung-Yong katika Dakika ya 76 wakati Liverpool walikuwa mbele kwa kwa Bao 2. VIKOSI: Liverpool: Mignolet, Flanagan, Johnson, Skrtel, Agger, Gerrard, Allen, Henderson, Coutinho, Suarez, Sturridge. Akiba: Jones, Sterling, Aspas, Sakho, Lucas, Cissokho, Moses. Sunderland: Mannone, Bardsley, Dossena, Brown, O'Shea, Vergini, Cattermole, Bridcutt, Giaccherini, Altidore, Wickham. Akiba: Ustari, Ki, Larsson, Johnson, Colback, Roberge, Scocco. Refa: Kevin Friend WEST HAM 2 HULL CITY 1 West Ham wameichapa Hull City Bao 2-1 na kuchupa hadi Nafasi ya 11 katika Msimamo wa Ligi Kuu England. West Ham walitangulia kwa Penati ya Mark Noble katika Dakika ya 26, Penati ambayo ilitolewa baada ya Kipa Allan McGregor kumwangusha Mohamed Diame na kupewa Kadi Nyekundu. Hull City waliwasazisha katika Dakika 48 kwa Bao la Nikica Jelavic lakini ushindi ukawa kwa West Ham kwa Bao la James Chester aliejifunga mwenyewe katika Dakika ya 54. VIKOSI: West Ham: Adrian, McCartney, Nolan, Tomkins, Carroll, Taylor, Noble, Collins, Demel, Diame, Downing Akiba: Armero, Vaz Te, Jääskeläinen,Joe Cole, Carlton Cole, Johnson, Nocerino Hull City: McGregor, Figueroa, Bruce, Chester, Davies, Meyler, Huddlestone, Livermore, Jelavic, Long, Elmohamady Akiba: Rosenior, Koren, Fryatt, Sagbo, Harper, Aluko, Quinn Refa: Mike Dean
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ
-
Wing888 vip
เป็นหนึ่งในชื่อที่น่าสนใจโดยเฉพาะสำหรับผู้ที่ให้ความสำคัญกับความปลอดภัย
เสถียรภาพ และระบบการให้บริการที่จริงจัง
ความเป็นส่วนตัวและความซื่อสัตย...
Post a Comment