Jimbo la Lousiana nchini Marekani limepitisha sheria itakayowabana vijana au mtu anayevaa suruali chini ya makalio.
Sheria hiyo inasema kuwa kijana atakayevaa suruali chini ya makalio kwa mara ya kwanza akikamatwa atapigwa faini ya Dola 50,na akikamatwa kwa mara ya pili atapigwa faini ya Dola 100.
Mpaka kupitishwa kwa sheria hii imeonekana kuwa Milegezo ni tatizo kubwa kwenye Jimbo hilo na ilifikia wakati vijana wanavaa hivyo ata kwenye ofici kubwa za serikali kama Mahakamani.
Post a Comment