
MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni baada ya kutangaza kuwa, yeye na mume wake wa zamani, Hamis Bwela bado ni damudamu.
Akizungumza hivi karibuni na Ijumaa, Amanda alisema kuwa, Jesca alianza kumtukana kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook akihisi huenda yeye na Bwela bado wanaendeela wakati hakuna chochote zaidi ya ukaribu wa kawaida tu.

Post a Comment