Mwanzo »
» MAMA YAKE NA DIAMOND PLATNUMZ AJITUPIA KATIKA PRODUCT YA MAVAZI YA DIAMOND(WCB).
Kwa hapa bongo hakuna mzazi wa msanii anayepiga pamba za ukweli kama mama yake platnum. Asante Diamond kwa upendo kwa mama yako, wote tunatakiwa kuiga mfano mzuri wa kuwatunza wazazi. Unamjua msanii gani mwingine anayewatunza wazazi wake kwa hapa bongo?
Post a Comment