DIAMOND PLATNUMZ |
1. DIAMOND AMEKUWA NI MSANII AMBAYE HAKULAZIA DAMU PALE ALIPOGUNDUA KUWA NYOTA YAKE IMEWAKA NA AKAITUMIA VILIPVYO TANGU ALIPOANZA KUSHINE MPAKA SASA ANAPOENDELEA KUSHINI.
2. INAAMINIKU KUWA KWASASA KATI YA IDADI KUBAWA YA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ NI MSANII AMBAYE ANAUZA SANA KUPITIA MAGAZETI YA UDAKU NA BURUDANI KILA KUNAPO KUCHA .
3. NI MASANII PIA AMBAYE ANAONGOZA KWA KUONGELEWA SANA KATIKA VYOMBO VYA HABARI HASA TELEVISION NA RADIO ZAIDI KULIKO MSANII YOYOTE TOKA TANZNAIA LAKINI PIA WEBSITE TOFFAUTI.
4. NI MSANII AMBAYE AMEPANDA KWA KASI ZAIDI KULIKO MSANII YOYOTE ALIYEWAHI KUTOKEA NCHINI TANZANIA.
5. NI MSANII AMBAYE AMETEMBEA NCHINI NYINGI KIKAZI YAANI KUPITIA MUZIKI WAKE KWA MUDA MFUPI ZAIDI KULIKO MSANII YEYOTE TOKA NCHINI TANZANIA.
Post a Comment