Mwanzo »
» QUICK ROCKER AWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE KUHUSU NGOMA YAKE NA A.Y
|
QUICK ROCKA |
Quick Rocka amewaomba radhi mashabiki wake kwa kushindwa kuachia wimbo wake mpya 'Masai' aliomshirikisha A.Y baada ya computer ya studio ku 'Crash' na wimbo huo uliokuwa umekamilika kupotea.
'I apologise to my dear fans.Hii ilikuwa ni nje ya uwezo wangu.But as soon as tukimaliza kufanya upya vocals Maasai will be banging your speakers na utaruka kama mori imepanda.Switcher na A.Y ni collabo ya moto sana,haijawahi kutokea'Alisema Quick.
Post a Comment