Mwanzo » » POMBE MAGUFULI ARUHUSIWA NA DK JAKAYA MRISHO KIKWETE KUKAZA KAMBA

POMBE MAGUFULI ARUHUSIWA NA DK JAKAYA MRISHO KIKWETE KUKAZA KAMBA

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 2 December 2013 | 17:01

JOHN POMBE MAGUFULI
Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemruhusu Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli, kuendelea na utekelezaji wa sheria ya matumizi bora ya barabara, hasa kipengele kinachodhibiti magari yanayozidisha uzito wa mizigo katika barabara.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa