Dj Cleo |
Akizungumza kupitia mahojiano na kituo cha matangazo kilichoko nchini Afrika ya Kusini Pwer Fm Dj Cleo amesema kuwa mpira wa miguu ni jambo ambalo amekuwa akilihusudu sana hata zaidi ya muziki kama Dj na kuimba na ndio iliyokuwa ndoto yake ya kwanza,Dj Cleo sasa ameamua kuingia rasmi katika kusakata kabumbu na amejiunga na kuanza mazoezi na team Bidvest United Fc ya Afrika Kusini na atakuwa akaicheza nafasi ya Goalkeeper.
''My love for soccer started at that time, i went into the music professional where the support i have been getting wonderful '' alisema katika mahojiano.
Post a Comment