Mwanzo » » HIKI KINAMFANYA JOKATE ASEMWE VIBAYA NA WAUMINI WENZAKE HATA VIONGOZI WA DINI.

HIKI KINAMFANYA JOKATE ASEMWE VIBAYA NA WAUMINI WENZAKE HATA VIONGOZI WA DINI.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 28 February 2014 | 23:53


Mwanamitindo Jokate Mwegelo ambaye ni mkubwa kimitindo Bongo amejikuta katika wakati mgumu baada ya siku kadhaa zilizopita kupiga picha huku akiwa katika vazi la gauni refu jekundu lakini kilicho fanya kila mtu amnyooshe vidole ni mpasuo unaoanzia chini mpaka ukanda wa paja lake na kuonesha sehemu kubwa ya mwili wake kwa kiasi sawa na mtu aliyevaa kiini kwa size ya urefu wa mpasuo.




Hali hiyo wa picha ambazo zinzidi kusambaa mtandaoni zimemuweka katika wakati wa yeye kusemwa vibaya na wahumini wa kanisa lake na hata viongozi wa kanisa analosalia na hii imekuwa ni moja ya mambo yanayomfanya ajute kupiga picha ya namna ile na kwa sasa ni moja ya mambo ambayo anajuta sana kuyatenda.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa