Mwanzo » » NEW SONG(AUDIO) VUMBE WA K TOWN FT SUMA MNAZALETH-NIAMBIE

NEW SONG(AUDIO) VUMBE WA K TOWN FT SUMA MNAZALETH-NIAMBIE

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 9 February 2014 | 21:58


Vumbe ni msanii anyefanya muziki usio wa kufananishwa na wasanii wengi wa kizazi hiki cha muziki wa kizazi kipya kwa kuwa yuko na code zake ambazo iko wazi ni kwamba style hii anayozidi kukomaa nayo itamfikisha pazuri kimuziki na sasa amekutanishwa na Steve Mweupe kama mtayarishaji na wakashirikiana vizuri na Suma Mnazleth katika ngoma mpya kabisa kwa mwaka huu toka kwa Vumbe ambayo imepachikwa jina ''NIAMBIE'' na ni kali kwa mujibu wa masikio ya Team yetu baada ya kuisikiliza na tunileta kwako uzidi kufurahia muziki mzuri... Enjoy ''CLICK HERE''
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa