Mwanzo » » HII NDIO VIDEO MPYA NA VIDEO YA KWANZA AY KUONEKANA AKIWA AMEMKARIBIA MSICHANA NA HATA KUMKUMBATIA.

HII NDIO VIDEO MPYA NA VIDEO YA KWANZA AY KUONEKANA AKIWA AMEMKARIBIA MSICHANA NA HATA KUMKUMBATIA.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 15:31

Kwa mujibu wa MwanaFA rafiki wa karibu sana wa msanii AY taarifa kuhusu wimbo huu wa Aasnte ni kuwa uliandikwa mwaka 2008 na kuwekwa kapuni hata kupotzewa kabisa lakini mwisho ukaingia katika orodha ya nyimbo kali za AY ambapo ni ngoma kali kiasi ambacho Diamond Pltanumz alipofanikisha kuusikia alimtaka AY ampatie nafasi ya kuweka kitu chochote katika ngoma hivyo mbali na ngoma hiyo kuwa tayari imkamilishwa na karuhusiwa na mwisho unaweza kumsikia Diamond Platnumz akicheza na sauti yake.




Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa