Mambo vipi?
Nafurahi sana kuwaambia Bongo Flava imeanza kupigwa huku Sweden! Mbele Kiza iko hewani kila siku na kesho (Jumapili 29/3) nimepata nafasi kuingia program kubwa ya top ten ya wasanii wasweden! Ni mara ya kwanza kwa watu wa Sweden kusikia lugha ya Kiswahili hewani. Tunakaribia kusambaza bongo flava duniani! Go Tanzania!
Tupo pamoja! /SaRaha
Sara Larsson
Post a Comment