Hii ilikuwa ni moja ya picha iliyoeleza Taarifa za LULU kuokoka. |
Mbali na hilo pia msanii huyo alionekana sana katika mitandao na magazeti akithibitisha taarifa hiyo ya kuwa ameokoka kwa kunekana amshikilia kitabu kitaka tifu cha Biblia.
Lakini tangu kutoka kwa taarifa hizo mambo yako kinyume tofauti na kike cha kudai kuwa ameokoka kwani maisha yake ni kama zamani tu kwasababu kama ni kupiga picha zenye utata zinazozidi kuonekana mitandaoni na katika magaeti pia sio zile zinaoweza kupigwa na mtu anayeishi maisha ya kilolkele.
Moja ya Picha zilizofuta tangu kutoka kwa taarifa za yeye kuokoka |
Huu ni muonekano ambao Lulu atatokea nao katika ukurasa wa mbele wa Jarida la VibeTz |
Kuna uwezekano mkubwa kuwa ile ilikuwa ni taarifa tu ya kubumba kwasababu inaonekana hakuwa tayari kuishi maisha ya ulokole kama alivyodai na mwishowe ni kuendeleza mabo yake kama kawaida kama msanii ambaye tunamfahamu tanga wali, inaonekana happa kuwa alikuwa akicheza na akili za wadau na mashabiki na hasa mungu wake pia.
Inabidi kabisa wasanii kabla ya kiusema jambo lolote kuhusu maisha husika hasa maisha kama haya ya kimungu na kiroho tuwe makini kwa maana hii sio kauli za kusem katika hali ya mzaha.
Post a Comment