NEY WA MITEGO |
Kupitia kipindi cha Burudani cha DUNDO cha MJ FM kituo cha Radio kilichoko Mji wa Arusha Ney amesema mbali na vitishi vingi tu alivyokwisha vipata kabla lakini kupitia ngoma yake ya SALAM ZAO vitisho vimeendeea na hasa vitisho ya kuuondoa uha wake lakini yeye kama msanii na katu haogopi kuusema ukweli siku zote kwanii mara zote sanaa ni kwa upande wake ni ukweli.
MSIKILIZE NEY AKIZUNGUMZA
Post a Comment