|
RICH MAVOKO |
|
JUMBA LINALOJENGWA LA MSANII RICH MAVOKO |
|
GARI ANALOMILIKI RICH MAVOKO |
Mwanzoni kipindi muziki wa kizazi kipya ukichipuka waliowengi hawakutegemea kama inaweza kuwa ajira kubwa ka viana na hata watu wazima kama ilivyo sasa,kilichokuwa katika akili za waliowengi ilikuwa kuwa muziki ni uhuni tu na waliobaki walisema muziki ni kazi ya kujifurahisha tu wasijue kuwa kuna kiasi kikubwa cha mapato endapo ushirikiano utapata nafasi na bidii ikichukua mkondo katika utendaji kuanzia kwa producer,masnii,na shabiki hasa pale mwenye kipaji akikitumia vizuri ipasavyo.
Na kama unavyoweza kuona katika picha hayo ni matunda ya muziki huo uliokuwa ukionekana kama uhuni na wasani wengi tu wa kutanzania wamezidi kulitangaza taifa la Taznania kupitia muziki huo huo na miongoni mwa wasanii wenye mafanikio makubwa katika muziki huu wa kizazi kipya alimaarufu kama Bongo Fleva ni Lady Jay Dee,Pia huyu Rich Mavoko,Madee,Mr Blue,Dully Sykes,Top In Dar(T.I.D),Diamond Platnumz,Barnaba na Wengine wengi.
Post a Comment