YOUNG D |
NIMEZALIWA DAR ES SALAAM...MAMBO MENGI NIMEPITIA UKICHANGIA MAZINGIRA NILIYOKULIA NIMEJIFUNZA NA KUONA MAMBO MENGI...BANGI,SIGARA HATA...
SIGARA HAYO NI MAMBO NIMEONA WATU WENGI HATA WA KARIBU WAKITUMIA MFANO MZURI ...BABAANGU MZAZI AKITUMIA(R.I.P) ILA KUHUSU UNGA NI MOA YA VITU NIMEKUWA NIKIOGOPA SANA MAANA HAKUNA HATAMTU YEYOTE WA KARIBU YANGU ANAYETUMIAZAIDI NILICHOONA NI WOTE WALIOTUMIA HAMNA HATA MMOJA KATI YAOALIYETUMIA HAYO MADAWA AKAFANIKIWA NINACHOHITAJI KUWAULISHA WATU WANGU WOTE NI KWAMBAIMANI YENU KWANGU KUHUSU KUJITAMBUA ISISHUKEKWA CHOCHOTE TAKACHOSIKIA ILA ZOTE ZINAWEZA KUWA FUNUNU TU...STAY TUNE...
Post a Comment