Huku mambo yakionekana kuendelea kuwa magumu kwa Ostaz tangu wadau walipolipokea kama suala la uzalilishaji kitendo cha yeye kupost picha na video ya PNC alimuomba msamaha pia katikati ya sakata hilo likiendelea pia ilifata taarifa ya kuwa watangazaji na wadau wa sanaa wamedaiwa kusemwa na Ostaz Juma na Msoma kuwa wana njaa na hawajui anafanya nini kauli iliyokaririwa kupitia ukurasa wa facebook wa Ostaz Juma na Msoma na sasa taarifa zailizotoka ni kuwa watu wasiojulikana wamehack account ya Ostaz Juma na kupost ujumbe huo wa kudai wasanii,wadau wa sanaa na mablogger kuwa wana njaa.
Baadae Ostaz ameeleza kuwa ilemilikuwa ni taarifa iliyowekwa na watu wasio julikana na sio yeye aliyehusika kusema vile ila tu wamefanya hivyo kuonekana kuwa bado anazidi kuonesha kulitia chumvi suala la PNC kuzalilishwa.
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA KUHUSU KILICHOPOSTIWA.
Post a Comment