Mwanzo » » SALAMA AWATUSI MASHABIKI KWA ISHARA YA KIDOLE

SALAMA AWATUSI MASHABIKI KWA ISHARA YA KIDOLE

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 18 October 2013 | 17:37

 
MCHECK AKIONESHA KIDOLE

Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidauiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search Madame Lita katikati na Master Jay.* 

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa