KIJANA ALIYEPATWA NA TUKIO LA KUUTUMIA UJANA NA AKAKUMBWA NA GONJWA |
Hapo katika picha ni mmoja kati ya vijana ambao katika umri mdogo tu amejikuta kaijutia maisha na kuisha maisha ya hofu na afya iliyzolota kabisa kiasi ambacho mi maisha ya kukatisha tamaa na ni maisha ya wanadamu wasio na moyo wa kuvumilia na utu ndani yake wanaweza kumtenga jamabo ambalo kiakili umiathiri sana mwandamu kwani mara zote mwadamu huitaji upendo na faraja wakati wote wa maisha yake.
Ushauri wa kaina hata lika zote za umri kufuata ni kuwa makini na hatua hii ya ukuaji ambayo inafahamika kama ujana na kujichunga zaidi na maradhi pamoja na matumizi ya madawa kwani mbali na katika kuufahia ujana hasa vijana walio wengi mabali na matumzi kaimaisha kulalia katika anasa wapo wanajikiata katiaka wimbi baya linaloweza kupoteza maisha kabisa ili kama mungu atakujali maisha marefu basi uweze kuyafaidi kwani hali tu inayoweza kuepukika.
Post a Comment