Kijana mmoja eneo la Bmaga jijini Dar Es Salaam amenusurika kifo baada ya kushushiwa kichapo kizito baada ya kutuhumiwa wizi wa box la spana eneo la gereji.
Vijana wenye hasira kali wakinagusha kichapo kwa mtuhumiwa wa wizi. |
Kichapo kikiendelea |
Sura Nyanga nyanga |
Walio na huruma walimuamulia na akalishwa chini akisubiri maamuzi |
Post a Comment