Mwanzo » » HII SASA KALI YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KAINGIA KAZINI MIGUU PEKU

HII SASA KALI YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KAINGIA KAZINI MIGUU PEKU

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 17 November 2013 | 16:30



Ni askari wa usalama barabarani ambaye jina lake halikufahamika  ambaye alilazimika kuingia kazini miguu peku na kunaswa na kamera za mapaparazi na akiingia kazini peku ni kutokana na dimbwi kubwa la maji lilikokuwa jiraji na jengo la ofisi ya kazi yake lililosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar Es Salaam jana ilipo ofisi ya Kamanda Mohamed Mpinga.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa