WEMA SEPETU |
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake
Habari zaidi zinaarifu kuwa baada ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.
"Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote ....
"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao" Kilisema chanzo ambacho ni mtu wa karibu na maadam Wema
Post a Comment