NASIB ABDUL ''DIAMOND PLATNUMZ'' |
Msanii anayetamba kwa uandishi na melody mwisho ikatoka ngoma kali hasa za mahaba Nasib Abdul ''Dimaond Platnumz'' ameonekana kuanza kuzitumia bidha ambazo alikuwa akiazimia kuziingiza sokoni muda si mrefu ambapo mara kadhaa anapopost pica katika mtandao anaonekana akiwa katika vazi la ndani linaowakilisha crew yake ''WCB'' jambo linaloonesha wazi kuwa soon mzigo huo utakuwa sokoni na wasafi wenzake watapendeza nazo huku tukitazamia kama biashara itakuwa nzuri zaidi basi zinaweza toka nguo za kila aina zinazowakilisha crew ya WASAFI ''WCB''.
DIAMOND AKIWA NDANI YA BOXER YA ''WCB'' |
PIA HAPA YUKO NDANI YA BOXER YA ''WCB'' |
Post a Comment