WEMA SEPETU |
HII NDIO PICHA ALIYOPOST KWA MARA YA KWANZA TANGU KUTOKEA KWA MSIBA |
Msanii wa bongo movie ambaye inasemekana kuwa ni msanii kwa kwanza bongo movie kushika vichwa vya habari kwa muda mrefu kila kukicha Wema Abraham Sepetu 'Wema Sepetu' kwa mara ya kwanza tangu kupatwa na msiba wa kumpoteza baba yake mzazi hivi karibuni ameonekana katika mitandao ya kijamii akizungumza na mashabiki kwa kuwasihi wapunguze jazba kwa kinachendelea mitandaoni kuhsu yeye na waache kutumia lugha za matusi wao kama '#TeamWemaSepetu' na amepostu akionesha bado uwepo wa upendo wa marehemu kipenzi baba yake mzazi.
Post a Comment