|
20 PERCENT
|
Ni wimbo mpya kabisa tuka kwa 20 Percent kwa mwaka wa 2014 baada ya kimya cha muda mrefu,waliowengi walitengemea Twenty Percent afanye kazi na Man Walter lakini haikuwa hivyo ingawa kwa mwaka wa jana Man Walter na 20 walimaliza tofauti zao na kuweka wazi kuwa wataendelea kufanya kazi kwa pamoja na hii ni ngoma mpya tokwa 20 ni kutoka pamoja Rec.
ENJOY GOOD MUSIC.
DOWNLOAD ''SUBIRA By 20 PERCENT HERE
Post a Comment