Mwanzo » » HUYU MDADA NDIYE ALIYESABABISHA T.I.D KUSOTA MAHABUSU.

HUYU MDADA NDIYE ALIYESABABISHA T.I.D KUSOTA MAHABUSU.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 30 November 2013 | 18:23

T.I.D NA MARIAM NNAUYE
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake,  Mariam Nnauye.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa