|
KWA MBALI NGUVA ANAONEKANA JUU YA MIAMBA |
Maajabu yaliyowamimina watalii nchini Israel kusuhudi taarifa za kuwa katika fukwe moja wapo ya bahari nchini humo ameonekana samaki mtu(Nguva) akiogelea kando kando mwa bahari na baadhi ya watu walifika na kuchukua video ni kwamba walibahatika kuona nguva akiwa juu ya miaba iliyoinuka na kutokeza juu ya maji na kipindi wakiwa katika hali ya mshangao samaki mtu huyo alijongea kwa haraka kurudi majini.
TAZAMA VIDEO HII KUONA
VIDEO NYINGINE HII HAPA...
Post a Comment