|
SNURA |
|
PICHA YA NGASSA NA SNURA KATIKA MOVIE YA MAJANA |
Baada ya picha na taarifa za kuwa kuna mahusiano kati ya mwandada mcheza filamu na msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi na msakata kabumbu toka Tanzania Mrisho Ngassa sasa ukweli ni kuwa picha zile ni kweli walikuwa katika pozi za malove'davi na na kupitia kituo cha habari EATV na EARADIO Snura kafunguka na kusema waliokuwa wakisambaza habari hizo kuwa ni wapenzi hawakujua kilichokuwa kikiendelea katika yake na Mrisho Ngassa na ukweli wa picha zile ni kuwa kuna movie inaandaliwa na Mrisho amesimama kama mpenzi wake katika movie hiyo na jina la movie litakwenda kwa jina la MAJNGA.
Post a Comment