|
IZZO BIZNESS |
Rapper Izzo Bizness asubuhi ya kuamkia leo amepokea taafi mbaya za kuwa office y ako iliyoko jijini mbeya iliyoko meneo ya chuo cha TEKU na wezi waliovunja na kufanya wizi huo wamemuibia computer sita na baadha ya vifaa vya kazi ambavyo walikuwa rahisi kubebeka ha office kuiacha ikiwa katika hali unayoweza kuiona katika picha.
|
HIVI BDIVYO OFFICE YA IZZO ILIVYOACHWA.
POLE SANA KWA IZZO KWA TUKIO HILO LA KUSIKITISHA. |
Post a Comment