Mwanzo » » NUMBER ONE REMIX VIDEO COMING SOON,DIAMOND FT DAVIDO TOKA NIGERIA.HAPA NI BEHIND THE CAMERA.

NUMBER ONE REMIX VIDEO COMING SOON,DIAMOND FT DAVIDO TOKA NIGERIA.HAPA NI BEHIND THE CAMERA.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 17 November 2013 | 15:11

Katika post aliyopost manii Diamond ambaye kwasasa naendelea na ziara zake kimuziki huko Nchini Nigeria na inaonekana wazi ziara yake ya NIGERIA INAWEZA KUWA IMEUNGANISHA NA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA MY NUMBER ONE REMIX FT DAVIDO,mbali na video hiyo kuendelea na utengenezaji pia diamondi ameliombea taifa la Tanzania,Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla kuwa mungu asaidie muziki wetu uzidi kuvuka na kufanya vizuri ili kulitangaza taifa na kujipatia heshima kimuziki katika mataifa ya mbali.


HAPA NI KATIKA UTENGENEZZAJI WA VIDEO YA MY NUMBER ONE REMIX DIAMOND FT DAVIDO TOKA NIGERIA.

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa