GOSBY |
VANESSA MDEE |
Amani ambae ni msemaji wa B Hits anasema ‘hizo nyimbo ziko hapa, Gosby ndio ana nyimbo nyingi kuliko Vanessa na hatuko tayari kuwapa.. pia kuna swali kubwa ambalo watu wengi wanauliza kwa nini B Hits haikai na Wasanii na kila mara inakorofisha… sababu kubwa ya Wasanii wengi kuondoka B Hits ni hii mikataba tuliyoitengeneza’
Studio ya B hits mpaka sasa imeshatengeneza hit single kama ‘Closer’ ya Vanessa Mdee, ‘habari ndio hiyo’ ya FA & Ay pia ‘nangoja ageuke’ na single nyingine kadhaa.
Post a Comment