Mwanzo » » AGNES MASOGANGE NA LINEX NI ZAIDI YA MARAFIKI

AGNES MASOGANGE NA LINEX NI ZAIDI YA MARAFIKI

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 10 February 2014 | 13:17





Msanii muwakilishi wa mkoa wa Kigoma Linex Sunday Mjeda baada ya kuvunja mahusiano yake na mchumba wa kizungu sasa utata wa mahusiano yake unaonekana kutatuka baada ya picha kusambaa akiwa na mwandada Video Queen mrembo kweli kweli ambaye amekuwa akikumbwa na skendo za uuzaji na usafirishaji wa mdawa ya kulevya Agnes Masogange...ushahidi wa hilo uko katika picha hizi...

ZITAZAME HAPA CHINI...







Linex na Agnes wanonekana katika viwanja wakila maisha huku nguo zikiwa ni zile za muoneshana ungani na ukweli wa kuwa Agnes amemruhusu Linex aone mambo yote.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa