LINAH SANGA |
Akizungumza na mtandao wa BONGO 5 Linah amekanusha kabisa na kusema kuwa hizo ni fununu na kuongeza kwa kusema kuwa yeye kama mtoto wa kike kuwa na familia ni muhimu na kwa sasa hajapanga kufika katika hatua hiyo mapema.
Akizungumzia upande wa muziki wake Linah amewahaidi mashabiki kuwa kwa mwaka huu amejipanga na hayuko tayari kuwaangusha kwa chochote kwani zipokazi ambazo ameziandaa kwa ajili yao hivyo wakae mkao wa kula kwakuwa muda wowote kuazia sasa ataachia kazi moto.
Post a Comment