Dully Sykes |
Kutokana na watu wasasa kupenda kula bata na kuparty hivyo Dully a,esema kwakuwa muziki ni biashara sasa wanaosubiri yeye aje na wimbo wenye ujumbe watasubiri sana kwakuwa kama ni nyimbo zenye ujumbe ameshafanya zikiwemo ''Leah'', ''Baby Candy'' na akawa anigiza pesa yakawaida tofauti na sasa ambapo anaigiza mkwanja mkubwa kuliko kipindi cha nyimbo za jumbe.
Mtu wmingine anawezz akasema kuwa Dully zamani ulikuwa unatoa nyimbo nzur, nyimbo za kueleimisha, sasa utampa elimu nani? watoto wote wameharibikahawa, hawataki elimu, wa wanataka kwenda disko na kucheza tu . ili wakuelewe , basi na mimi nawapa elimu ya kucheza na kuenjoy katika clubs na kula bata'' Alisema Dully.
Hii ni sawa kibiashara lakini kama mtu utafata misingi ya sanaa utakuta kuburudisha haitoshi tu kwa mwasanaa lakini kwakuwa kwasasa muziki ni biashara kila mmoja atafanya kulingana na uwezo wake .
Post a Comment