|
HISIA |
Baada ya ''JUST FOR YOU'' aliyoiachia Msanii Hisia baada ya kutoka tu katika mashindano ya kipaji cha kuimba yanayofanyika nchini Kenya mwaka jana yanayojulikana kama Tusker Project Fame sasa apanga kuachia ngomanyingine ambayo inatazamiwa kuwa ngoma kali ambayo pia imeandaliwa nchini Kenya na ngoma hiyo iakwenda kwa jina ''MAWAZO'' iliyofanyika MG Studio huko nchini Kenya na kwa mujibu wa hisia ni kwamba ngoma hiyo imeandaliwa kwa vyombo vya kupigwa live na ni ngoma iliyochukua takribani ya muda wa majuna/week tatu mpaka kuikamilisha.
Mawazo ni ngoma ambayo inazungumzia maisha ya kweli ya kimapenzi yanayomhusu Hisia mwenyew na ameamuza kuachia ngoma hiyo siku ya wapendanano kuwa kuwa imeonekana ni idea ya mapenzi na kwa kuwa ni siku ya wapendanao hivyo ni poa kwa wewe kuisubiri.
Post a Comment