Temba na Chegge |
Kwa mwaka huu wa 2014 wamejipnga tena kuachia mkwaju mwingine wa pamoja ukiwa ni chini ya utayarishaji wa studio za mkubwa na wanae Rec zinazomilikiwa na Mkubwa Fella mwenyewe na mtayarishaji atakayefanya mchakato huo wa kukamilisha mkwaju huo ni Procuder Shirico na mkwaju utakwenda kwa jina ''WAUWE'' na Wawili hawa kama inavyofahamika wanapokaa pamoja katika ngoma basi huwa hakiharibiki kitu.
Post a Comment