|
OMMY DIMPOZ DIMAOND PLATNUMZ |
Wasanii hawa ni wenye mafanikio kimuziki na majina makubwa lakini mtandaoni likaibuka la kuibuka baada ya msanii Diamond Platnumz kujaribu kuzungumzia mioyo ya mapenzi na kilichokuja kutokea ni Ommy Dimpoz kumjibu kwa kusema kile ambacho kimeonekana wazi kuwa Diamond ameongea ukweli na alichokuwa akijaribu kuzungumzia ni kitu ambacho kimewahi kumtokea ingawa haikujikana ni msicha yupi Ommy Dimpoz alikuwa akimmaanisha kwa Diamond aila tu unaweza kutazama kile kilichotekea kati ya wawili na kama ni mfatliaji unaweza kujua ni nani alikuwa akizungumziwa
hapa...Chini...
Post a Comment