Mwanzo » » BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI NA FILAMU.

BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI NA FILAMU.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 19 February 2014 | 17:26

Baby Madaha
Baada ya hivi karibuni msanii Baby Madaha kuingia mtego kwa kupatana bei ya kutoa ngono kwa mtu aliyejitambulisha kama muuza madini na kwa jina la Mike na mkazi wa Jiji la Mwanza picha ambalo lilikuwa limechezwa na team ya wanahabari wa gazeti maarufu la udaku nchini Tanzania na Baby Madaha kudaiwa kuingia mtego huo sasa atangaza kuachana na mambo ya muziki pamoja na Filamu kwa hapa Bongo.



Baby Madaha amesema kuwa kwasasa yuko na ngoma moja ambayo inakwenda kwa jina la MR DJ ambayo ameabinisha kuwa ndio itakuwa ngoma ya mwisho kutoka kwake na kuanzia hapo hatkuwa akisikika tena katika tasnia ya muziki na pia katika movie amesema kuachana na tasnia hiyo pia ingawa hakutaja movie yake y mwisho.


Sababu za yeye kuacha na sanaa hizo ni pamoja na matokeo ambayo amekutananayo kuazia tangu zizagae taariza za yeye kuuingia mkenge wa kupatana bei ya bishara ya ngono katika yake na mtu aliyemfata kama mfanyabiashara wa madini na kuingia kashfa ka yeye kuwa kahaba na kuadi hali ile imemvurugia sna mambo yake kimuziki na katika sanaa ya movie pia kwa hapa Bongo kwa kuwa imeonekana kuwa kashfa kubwa sana.


Akisema.. ''Nimeamua kuachana na sanaa kabisa,siwezi kuishi maisha ya presha yasiyo na uhuru. Nitarudi katika fani yangu niliyoisomea(Hakuibainisha ni fani gani),maana naishi maisha yambayp hayana amani kabisa'' alimaliza kwa kusema,

Hii isije kuwa kama ya Msanii Chid Benz maana na Chid Benz amewahi kutangaza kuachana na muziki na baaya ya kipindi alirejea na kuendelea sasa hatujui ninii kitafata hapa baada ya Baby Madaha kudai kuwa anaachna na sanaa ya muziki pamoja na maigizo kwasababu alizodai kuwa ni kuishi bila raha wala amani yaani kwaufupi maisha ya kuwa mtu maarufu ni presha tu.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa