Mwanzo » » MAFIKIZOLO KUKINUKISHA JIJINI DAR ES SALAAM MWEZI APRIL.

MAFIKIZOLO KUKINUKISHA JIJINI DAR ES SALAAM MWEZI APRIL.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 02:07


Kundi maarufu  la Muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo linatarajiwa kudondosha burudani ya aina
yake itakayoacha gumzo Jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 5 mwezi Aprili mwaka huu, kwa ajili ya kuwapa burudani ya moja kwa moja wapenzi wa muziki wao hapa Tanzania.



Mafikizolo ambayo inaundwa na wakali Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza tayari wamejipanga vilivyo kwa ajili ya kulishambulia jukwaa katika onyesho ambalo linakuwa ni la kwanza kabisa kulifanya haba Bongo katika historia ya kundi hili.
Tiketi za onyesho hili linalosubiriwa kwa hamu, zinapatikana kwa shilingi 20,000 tu katika maeneo  na mlangoni siku ya tukio, tiketi hizi zitapatikana kwa shilingi 35,000.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa