Mwanzo » » MCHEKESHAJI STEVEN NYERERE AWAPATANISHA JACQUELINE WOLPER NA MABAYA WAKE WA SIKU NYINGI.

MCHEKESHAJI STEVEN NYERERE AWAPATANISHA JACQUELINE WOLPER NA MABAYA WAKE WA SIKU NYINGI.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday 24 March 2014 | 14:23

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.


Akizungumza na gazeti hili, Steve alifunguka kuwa uongozi wake upo kwa ajili ya kuweka kundi hilo likae katika njia sahihi hivyo aliamua kumuita Wolper na huyo msanii mwenzake ambapo alifanya nao kikao cha saa kadhaa maeneo ya Mbezi Beach, Dar.Akizungumza na gazeti hili, Steve alifunguka kuwa uongozi wake upo kwa ajili ya kuweka kundi hilo likae katika njia sahihi hivyo aliamua kumuita Wolper na huyo msanii mwenzake ambapo alifanya nao kikao cha saa kadhaa maeneo ya Mbezi Beach, Dar.


Jacqueline Wolper Massawe katika pozi.

Nimefurahi sana kwa kuwa nimeweza kuwapatanisha, haikuwa kazi rahisi lakini nimefanikiwa, naamini wataendelea kuzungumza vizuri na kupendana maana mimi ni mtu wa amani, napenda na wasanii wangu wawe na amani na wapendane pia,” alisema Steve ambaye naye amepatana na Wema Sepetu baada ya kuwa Mwenyikiti wa Bongo Movie Unity.
Wolper na msanii huyo waliingia kwenye gogoro zito baada ya mbaya wake huyo kumkashifu Wolper laivu runingani na kumshambulia kwa maneno makali.Nimefurahi sana kwa kuwa nimeweza kuwapatanisha, haikuwa kazi rahisi lakini nimefanikiwa, naamini wataendelea kuzungumza vizuri na kupendana maana mimi ni mtu wa amani, napenda na wasanii wangu wawe na amani na wapendane pia,” alisema Steve ambaye naye amepatana na Wema Sepetu baada ya kuwa Mwenyikiti wa Bongo Movie Unity.Wolper na msanii huyo waliingia kwenye gogoro zito baada ya mbaya wake huyo kumkashifu Wolper laivu runingani na kumshambulia kwa maneno makali.Wolper na msanii huyo waliingia kwenye gogoro zito baada ya mbaya wake huyo kumkashifu Wolper laivu runingani na kumshambulia kwa maneno makali.


Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefanikiwa kumpatanisha Jacqueline Wolper Massawe na mbaya wake ambaye ni msanii mwenzake wa filamu (jina kapuni).

Alisema kuwa alifurahishwa kuona bifu hilo limekwisha kwani yeye anapenda watu wapendane na kundi liwe na amani, kusiwe na mifarakano ya hapa na pale ndiyo maana alichukua jukumu hilo na sasa wako vizuri. Kwa sasa wawili hao wanazungumza tofauti na zamani ambapo walikuwa hawasalimiani hata wakikutana uso kwa uso.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa