Mwanzo » » LUPITA NYONG'O APEWA SHAVU NA RAPPER JAY-Z KATIKA NGOMA MPYA.

LUPITA NYONG'O APEWA SHAVU NA RAPPER JAY-Z KATIKA NGOMA MPYA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday, 24 March 2014 | 21:19

Lupita Nyong'o

''We made it''ndo jina la ngoma ambayo ni mpya kabisa na ni ngoma ambayo ni kati ya ushirikiano wa rapper Jay-Z na rapper mwenzake Jay Electonica na katika hali isiyosiyotazamiwa Jay-Zameamua kuandika mashairi ya kumzugumzia Mwanamitindo toka Taifa la Kenya anayezidi kuitambulisha vilivyo nchi yake na Bara la Afrika kwa ujumla ''Lupita Nyong'o'' mshindi wa Tuzo za Oscar tuzo zilizofanyika na kutangaza washindi mwaka huu wa 2014 ambapo Lupita aliibuka mshindi kama muigizaji Bora masaidizi katika filamu ya 12 Years a Slave.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa