Mwanzo » » UJAUZITO WA MAPACHA WA DIVA ALIOPATA KWA MPENZI WAKE GK WATOKA.

UJAUZITO WA MAPACHA WA DIVA ALIOPATA KWA MPENZI WAKE GK WATOKA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Tuesday, 25 March 2014 | 00:17


clip_image002

Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi.clip_image002

Diva aliwahi kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha kuharibika.
Tazama picha na maneno aliyoshare instagram
CREDIT TO SWAHILITZ
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa