Mwanzo » » AIR MALAYSIA ILIUA WATU WOTE ILIPOANGUKA KATIKA BAHARI YA INDIAN KAMA ALIVYOTABIRI MCHUNGAJI TB JOSHUA.

AIR MALAYSIA ILIUA WATU WOTE ILIPOANGUKA KATIKA BAHARI YA INDIAN KAMA ALIVYOTABIRI MCHUNGAJI TB JOSHUA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday, 24 March 2014 | 23:46

TB JOSHUA
Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo imedhihirika tena kwa mara nyingine kuwa utabiri wake ni wa Kweli , kwani imethibitika kuwa ndege hiyo ilianguka kwenye bahari hiyo na hakuna aliye pona...
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa