Mwanzo » » FILAMU 3 KALI ZAIDI ZA MAREHEMU MUIGIZAJI WA KIMATAIFA PAUL WALKER ZAAACHIWA RASMI.

FILAMU 3 KALI ZAIDI ZA MAREHEMU MUIGIZAJI WA KIMATAIFA PAUL WALKER ZAAACHIWA RASMI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 20:56


Moja ya movie alizocheza Paul Walker ni pamoja na tatu zilizo achiwa wikend hii.Filamu hizo ni 'Hours' ambayo Walker amecheza kama mhusika mkuu(Main character),'Noah' stori inayozungumzia mambo ya  biblia na 'Divergent' ambayo inazungumzia utabili wa mambo yajayo.Hii ni kwa mujibu wa channel24

Nyota huyo wa series ya 'Fast & Furious'  alikufa kwa ajari ya gari 30 Novemba mwak 2013
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa