Mwanzo » » WASHIRIKI WA MTV AFRICA MUSIC AWARDS KUTANGAZWA SIKU ZA KARIBUNI.

WASHIRIKI WA MTV AFRICA MUSIC AWARDS KUTANGAZWA SIKU ZA KARIBUNI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 20:50

Washiriki wa tuzo za MTV MAMA watatangazwa rasmi April 16 baada ya mchakato wa kuwapata washiriki hao utakapo kamilika

Tuzo za MTV kwa wasanii wa afrika zinafanyika kwa mara ya nne sasa baada ya kuanzishwa mwaka 2008 na kusimama mwaka 2010 kutokana na matatizo ya kifedha

Tuzo hizo zitakzofanyika Afrika ya kusini zitahusisha wasanii amabao video tayari zimeshapata airplay katika televisheni ya MTV Base na MTV kati ya Machi 20, 2013 hadi Machi 19, 2014.

Kwa mara ya kwanza tuzo hizo zilifanyia Lagos,Nigeria mwaka 2008,mwaka 2009 zilifanyika Nairobi,Kenya na mwaka 2010 zilifanyka tena Lagos nchini Nigeria kabla ya kusitishwa
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa