Mwanzo » » ITAZAME OFFICIAL LOGO YA KAZI ZA OMMY DIMPOZ ''PKP''

ITAZAME OFFICIAL LOGO YA KAZI ZA OMMY DIMPOZ ''PKP''

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 16:15

2Omari Nyembo ambaye jukwaani anaitwa Ommy Dimpoz, zaidi ya muziki pia ni mjasiriamali akitumia kampuni yake ya PKP ambayo huwa inaandaa show pamoja na kutoka mavazi yenye logo hiyo.
Ommy ametoa logo rasmi ya kampuni yake ambayo rangi ya dhahabu imetumika sana kwenye logo hiyo kama inavyoonekana hapa.
1


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa